Dataset Viewer
Auto-converted to Parquet Duplicate
audio
audioduration (s)
0.6
48
source_folder
stringclasses
1 value
gender
stringclasses
2 values
speaker
stringclasses
13 values
transcript
stringlengths
0
427
stt_dictionary
female
speaker_1
kusema hivyo alitoroka na kutoka siku hiyo walikuwa maadui mmoja anakwenda tulikuwa tukiishina bibi yangu na mama yangu binamu zangu kristina tandi na junior na shangazi waliishi nasi bibi yangu angetufundisha michezo ulikuwa wakati mzuri
stt_dictionary
female
speaker_1
sana halafu junior akaenda malawi naye bibi pia akaenda malawi shangazi na kristina pia wakaenda malawi halafu tandi vile vile akaenda malawi ilisikitisha kweli hakuna aliyeishi nasi lakini si mbaya sana kwa sababu mama yangu
stt_dictionary
female
speaker_1
bado yuko hapa nami mawazo yangu ni kama ufunguo unaofungua kila mlango katika mawazo yangu mwavuli wangu una mipini miwili ili niweze kuushikilia na dada yangu katika mawazo yangu kuna nyuki shujaa nyuki shujaa wanaoruka majini kwa urahisi
stt_dictionary
female
speaker_1
kama wanavyoruka angani katika mawazo yangu naona maua humea katika viatu na kuimba katika mawazo yangu kila mtoto hula aiskrimu wakati wa chakula cha jioni na kisha hulala maua yanapouimbia mwezi wa rangi ya kizambarau hapo kale kuliishi msichana
stt_dictionary
female
speaker_1
aliyeitwa kalabushe kalabushe alikuwa chiriku alionywa na mamake kutozungumza sana lakini hakusikia siku moja shangaziye kalabushe aliugua aliishi ngambo mbali kidogo nao mamake kalabushe alikuwa na shughuli nyingi siku
stt_dictionary
female
speaker_1
hiyo kalabushe alipopewa chakula kumpelekea shangaziye tayari ilikuwa jioni njiani kalabushe alikutana na sinisou sinisou alikuwa fisi aliyegeuka mtu sinisou alimwuliza alichobeba kalabushe alijibu nimebeba nyama mayai na
stt_dictionary
female
speaker_1
maziwa kalabushe alikuwa ameonywa kutotambua alichokuwa amebeba kalabushe vile vile alimwambia sinisou kuwa shangaziye alikuwa mgonjwa na kwamba alikuwa anampelekea chakula hicho sinisou alidondokwa mate alipofikiria juu ya nyama aliyoibeba
stt_dictionary
female
speaker_1
kalabushe sinisou alikimbia mbele haraka haraka aliingia nyumbani kwa shangaziye kalabushe sinisou alimmeza shangazi alijigubika blanketi lake akasubiri kalabushe afike kalabushe alipowasili nyumba ilikuwa
stt_dictionary
female
speaker_1
kimya kabisa aliingia ndani na kuita shangazi uko wapi nimekuletea chakula ule kalabushe hakumsikia shangaziye aliingia ndani ya chumba ambamo kawaida shangaziye alilala alishangaa alimpomwona mtu amejigubika
stt_dictionary
female
speaker_1
blanketi shangazi mbona masikio yako ni makubwa sana leo kalabushe aliuliza sinisou alijibu kutoka ndani ya lile blanketi kubwa ili niweze kukusikia vyema kalabushe aliuliza tena shangazi mbona macho yako ni makubwa
stt_dictionary
female
speaker_1
sana leo sinisou alijibu ili niweze kukuona vyema mwishowe kalabushe aliuliza shangazi mbona mdomo wako ni mkubwa sana leo sinisou alijibu ili niweze kukumeza kisha sinisou aliruka na kummeza kalabushe kawaida
stt_dictionary
female
speaker_1
kalabushe alipenda kuongea sana alizidi kuzungumza na kuuliza maswali mengi hata alipokuwa mle tumboni kwa sinisou hatimaye sinisou alichoshwa na maswali mengi aliyouliza kalabushe akaamua kumtema nje kalabushe na
stt_dictionary
female
speaker_1
shangaziye waliokolewa na wanakijiji tokea siku ile kalabushe alikoma kuzungumza sana hasa na watu asiowajua kuni ya kahawia iliyopasukapasuka mchoro wa simba wa kahawia mkate laini wa kahawia keki tamu za kahawia viatu vizee vya kahawia kifaru wa kahawia wa kumetameta kofia ya
stt_dictionary
female
speaker_1
kahawia iliyotengenezwa kutoka kwa ngozi ya kondoo mbwa laini wa kahawia udongo mchafu wa kahawia ngozi majimaji ya kahawia na hii ni nini uso safi katika kioo kichafu
stt_dictionary
female
speaker_1
khalai ni msichana mwenye umri wa miaka saba katika jamii yake jina lake lina maana sawa na aliye mzuri khalai anaamka na kuuzungumzia mmea mchanga wa mchungwa anasema tafadhali mchungwa kua mkubwa
stt_dictionary
female
speaker_1
uzae machungwa mengi mabivu khalai anapokuwa njiani kwenda shuleni anazizungumzia nyasi anasema tafadhali nyasi zidi kuwa kijani kibichi na wala usinyauke khalai anayapita maua ya kichakani anasema tafadhali maua endelea kunawiri
stt_dictionary
female
speaker_1
ilinikutumie kuzirembesha nywele zangu anapokuwa shuleni khalai anauzungumzia mti ulioko pale shuleni tafadhali mti yazae matawi makubwa ilituweze kusomea chini ya kivuli chako khalai anauzungumzia ua unaoizingira
stt_dictionary
female
speaker_1
shule yake tafadhali ua kua uwe mwenye nguvu ili uilinde shule yetu dhidi ya watu wabaya anaporudi nyumbani alasiri khalai anautembelea mti wa mchungwa kutazama ikiwa machungwa yameiva machungwa bado mabichi khalai anashusha
stt_dictionary
female
speaker_1
pumzi nitakutembelea kesho mchungwa wee labda utanipa chungwa mbivu wakati huo dereva wa kike wa tuktuk tuktuk ni gari lenye magurudumu matatu linatumika kwenda sehemu moja hadi nyingine kwa haraka katika jamii nyingi uendeshaji gari la abiria ni kazi inayofanywa hasa na wanaume wanawake
stt_dictionary
female
speaker_1
hawajihusishi sana nayo siku moja abby aliwaomba wazazi wake fedha alitaka kulipia mafunzo ya udereva wazazi wake walisema kazi hii si nzuri kwa wanawake watu watasemaje abby alisema ninaweza kufanya kazi yoyote inayofanywa na
stt_dictionary
female
speaker_1
watu wengine alifaulu kuwashawishi wazazi walimruhusu akaanza kujifunza udereva abby alikamilisha mafunzo hayo vizuri wazazi wake walijadiliana namna ya kumsaidia zaidi baadaye walikubali kumnunulia tuktuk abby alianza
stt_dictionary
female
speaker_1
kuendesha tuktuk yake mjini soko moja siku moja alipata wazo zuri aliweka tangazo kwenye mlango wa nyuma tangazo lilikuwa na namba yake ya simu tangazo lilisema ninawasafirisha wanawake waja wazito akina mama waliojifungua na watoto bila
stt_dictionary
female
speaker_1
malipo abby alianza kupokea simu kutoka kwa waliohitaji kusafirishwa abby alipata pesa kwa kuwasafirisha watu hata hivyo aliendelea kuwasaidia wasiokuwa na fedha zozote abby aliifurahia kazi yake watu wakongwe walimtakia baraka
stt_dictionary
female
speaker_1
kila wakati wanakijiji waliongea kuhusu kazi yake abby aliwaambia mtu huvuna anachopanda kulikuwa na mvulana mmoja kwa jina abeli alijitengenezea rukwama abeli hakuwa na dereva wa rukwama yake mpya akamwambia meri dada
stt_dictionary
female
speaker_1
yake nataka dereva wa rukwama yangu tafadhali nipe mwanasesere wako anaweza kuketi ndani ya rukwama lakini meri akasema hapana namtaka mwanasesere wangu wakati meri hakumkubali amchukue mwanasesere abeli alikasirika
stt_dictionary
female
speaker_1
sana alimnyakua mwanasesere na kumvuta meri alivuta mkono mwingine wa mwanasesere abeli alivuta na meri akavuta mkono wa mwanasesere ukangoka meri akalia na kukimbia kwa mama yake angalia mama akasema abeli alivuta mkono wa
stt_dictionary
female
speaker_1
mwanasesere wangu na ukangoka alitaka mwanasesere wangu aketi ndani ya rukwama yake mpya lakini nilitaka kucheza naye mama yake akasema abeli hakufanya tabia nzuri mama akawaza jinsi ya kumfunza mwanawe kutogusa vitu vya
stt_dictionary
female
speaker_1
dadake vya kuchezea alikuwa na wazo alikwenda kwa rafiki yake ambaye alikuwa daktari na kumwambia tafadhali nisaidie daktari akajibu naweza kukusaidia namna gani rafiki yangu mama akajibu mwanangu abeli anatabia mbaya
stt_dictionary
female
speaker_1
sana siku hizi alingoa mkono wa mwanasesere wa dadake hastahili kufanya hivyo kesho nitamwambia akuletee huyo mwanasesere umrudishe mkono tena tafadhali mwambie abeli kuwa lazima akulipe kwa kazi yako hana pesa zozote kwa
stt_dictionary
female
speaker_1
hivyo utamwambia asafishe gari lako kubwa zee ambalo huwa na vumbi kila wakati mama akasema rafiki yake alicheka na kusema ee-ee hilo litakuwa jambo zuri mamake abeli akarudi kwake nyumbani akamwuliza abeli unapokuwa mgonjwa
stt_dictionary
female
speaker_1
walikuwa hawawezi kupikika katika chungu kimoja mmoja akimwona mwenzake anakunja uso kama nyati
stt_dictionary
female
speaker_1
uhasama uliendelea wakawa hawawezi kusemezana tena uadui ulifika kiwango cha kutisha ajabu ni kwamba watoto
stt_dictionary
female
speaker_1
wao walikuwa hawana hata habari walicheza pamoja
stt_dictionary
female
speaker_1
shuma alikuwa hapendezwi kamwe na mambo yale alijaribu juu chini kusuluhisha mgogoro ule lakini aliambulia
stt_dictionary
female
speaker_1
patupu siku moja shuma aliamua kumpa mpwa wake jogoo mkubwa ili waende wakamchinje mtoto alifurahi sana na
stt_dictionary
female
speaker_1
kukimbilia nyumbani baba baba nimepewa jogoo na ami leo nitakula nyama mtoto alisema kwa furaha ni nani
stt_dictionary
female
speaker_1
stt_dictionary
female
speaker_1
aliyemwambia ami yako tunahitaji kuku hebu mlete kijana yule alimkabidhi baba yake jogoo yule kwa heshima na
stt_dictionary
female
speaker_1
stt_dictionary
female
speaker_1
taadhima kwa kuwa nyumba zao zilitenganishwa na ua baba mtu alitoka na kumrusha jogoo upande wa pili wa ua
stt_dictionary
female
speaker_1
shuma alishangaa kumwona kuku akipuruka akirudi nyumbani aliwaza na kuwazua lazima nitafanya kitu hatuwezi
stt_dictionary
female
speaker_1
kuendelea hivyo akajisemea usiku ule alipata wazo alitaka kujua kati ya rafiki na ndugu ni nani anayeweza
stt_dictionary
female
speaker_1
kukusaidia wakati wa shida alienda kwa rafiki zake akiwa na kisu chenye damu alibisha mlango na rafiki yake
stt_dictionary
female
speaker_1
akafunguakuna nini usiku huu akaulizwa niwie radhi lakini nimemwua mtu naomba unisaidie tumzike nisijulikane
stt_dictionary
female
speaker_1
akamwambia vivyo hivyo alienda kwa ndugu yake na kumwambia vile vile ndugu yake alivaa haraka na kutoka mke
stt_dictionary
female
speaker_1
wake alijaribu kumzuia lakini wapi aliandamana na kaka yake tayari
stt_dictionary
female
speaker_1
niliamka asubuhi na mapema hata kabla jogoo hajawika nilipanga nguo zangu kwenye mkoba kisha nikaenda kula
stt_dictionary
female
speaker_1
kiamsha kinywa changu
stt_dictionary
female
speaker_1
kulipokucha nilchukua mkoba wangu na kuondoka nyumbani nilipofika kwenye stesheni ya matatu nilipanda matatu
stt_dictionary
female
speaker_1
na kunipeleka moja kwa moja hadi mashambani
stt_dictionary
female
speaker_1
niliwapata jamaa wangu wakiwa wamenisubiri kwa hamu na ghamu walinikumbatia na kunikaribisha tukaenda
stt_dictionary
female
speaker_1
sebuleni kupiga gumzo nililetewa chakula kitamu kama asali nilipomaliza kula amu yangu aliniambia tutoke nje
stt_dictionary
female
speaker_1
tupunge hewa jioni ilipofika tulikusanyika sote sebuleni kusikiliza rungoya tulikula chakula chetu cha jioni
stt_dictionary
female
speaker_1
kisha tukaenda kulala ulikua ni msimu wa mvua usiku huo mvua ilinyesha hadi maji yakaingia kwenye nyumba
stt_dictionary
female
speaker_1
tuliamka sote kuziba matundu yaliyokua yakiingiza maji
stt_dictionary
female
speaker_1
asubuhi ilipofika tulienda kuwakamua ng’ombe tulipomaliza tulikula chai kwa mihogo tulipowafungulia ng’ombe
stt_dictionary
female
speaker_1
na mbuzi kuwapeleka malishoni mvua kubwa ilinyesha hadi ikatuzuia na punde giza likaanza kuingia tulisimama
stt_dictionary
female
speaker_1
huko hadi mjomba wetu alipokuja kututafuta akatuokoa na kutupeleka nyumbani
stt_dictionary
female
speaker_1
maisha ya mashambani yalikua mazito sana
stt_dictionary
female
speaker_1
katika likizo ya mwisho ya mwaka ulipata fursa ya kuwatembelea jamaa zako mashambani
stt_dictionary
female
speaker_1
ilikuwa siku ya mwisho shuleni nilikuwa nimefurahi kuwa nitaweza kuwatembelea wazazi wangu nyumbani nilikua
stt_dictionary
female
speaker_1
nimejianda kuondoka katika shule ya bweni ya upili ya kola
stt_dictionary
female
speaker_10
kutoka pale alikokuwa mvua ilinyesha kwa wingi zaidi hadi anansi akalowa na kuhisi baridi aliamua kukimbilia shimoni nitaketi hapa shimoni hadi mvua itakapoisha alijiambia bora hela zangu zimekingwa na nafaka niliyoweka juu
stt_dictionary
female
speaker_10
yake muda mfupi baadaye tai aliruka pahali pale na kukiona kikapu kando ya barabara aliona pia kwamba kulikuwa na fedha na nafaka tai alikifunika kikapu hicho kwa mabawa yake na kusubiri mvua iishe buibui anansi alimwona tai akiwa
stt_dictionary
female
speaker_10
amekalia kikapu chake ah asante rafiki yangu kwa kukilinda kikapu changu alimwambia tai samahani anansi nilikusikia vyema tai aliuliza eti kikapu chako kikapu hiki ni changu nilikipata hapo pembeni mwa barabara buibui
stt_dictionary
female
speaker_10
anansi hakuweza kuamini masikio yake ni changu nakwambia buibui anansi alienda kushtaki kwa chifu tai aliwaambia chifu na wazee inawezekanaje kukiacha kikapu kilichojaa fedha na nafaka barabarani bila ulinzi wowote nilikuwa
stt_dictionary
female
speaker_10
nikikichunga kikapu changu fedha ni zangu na nafaka ni yangu buibui anansi alisema nilikuwa nimekikinga kikapu hiki kwa mabawa yangu ulipotokezea na kudai kwamba kilikuwa chako tai alijibu baada ya chifu na wazee wake kusikiliza kwa
stt_dictionary
female
speaker_10
makini pande zote mbili waliwataka buibui anansi na tai watoke hapo na kwenda mbali kidogo walijadili kisa hicho kwa muda mrefu hatimaye walifikia uamuzi waliwaita tena buibui anansi na tai tunamwamini tai walisema yeye
stt_dictionary
female
speaker_10
si mwizi wewe anansi ulikuwa ukijitakia kitu kisichokuwa chako buibui anansi hakuweza kuamini masikio yake aliangua kilio ujumbe ulisambaa kwamba uamuzi ulimwendea vibaya buibui anansi buibui anansi alipoondoka alimsikia
stt_dictionary
female
speaker_10
sungura akicheka kwa nguvu sungura alirudi shambani kwake akaendelea kupanda matunda na mboga buibui anansi aliwapoteza marafiki wote alirejelea hali yake ya umaskini
stt_dictionary
female
speaker_10
hapo zamani za kale palikuwa na mfalme yeye na wake zake watatu waliishi katika kijiji kimoja kilichoitwa nuru siku moja mfalme yule aliwaita wake zake na kusema wake zangu wapendwa ningependa leo nile chakula kitamu atakayepika chakula kitamu
stt_dictionary
female
speaker_10
zaidi atapata zawadi nono mke mmoja alienda sokoni akanunua nyama ya ngombe na viungo vingi alirudi nyumbani na kupika kitoweo alichoamini kilikuwa kitamu mke mwingine alienda soko iliyokuwa sehemu tofauti alinunua nyama ya pori
stt_dictionary
female
speaker_10
pamoja na viungo tofauti naye alirudi nyumbani kuitayarisha mke wa mwisho aliamua kwenda kumuona mamake mfalme aliambiwa apike chakula cha kienyeji na wala asiweke mafuta au viungo vyovyote vya kisasa mke huyo wa tatu alienda shambani
stt_dictionary
female
speaker_10
kutafuta mboga tofauti za kutayarishia chakula cha kienyeji mfalme na wenzake walifika kwa wake waliopika nyama ya ngombe na ya pori hata hivyo mfalme hakukipenda chakula alichoandaliwa walienda kwa mke aliyeandaa chakula
stt_dictionary
female
speaker_10
cha kienyeji mfalme alikifurahia sana kwani kilikuwa chakula alichokipenda alimteua mke huyo kuwa malkia katika ufalme wake tangu siku hiyo huyo mke aliheshimiwa sana yeye alijua namna ya kumfurahisha mmewe ariana yuko amerika anataka kutembelea kenya barabarani ataona kondoo ataona bodaboda na tuktuk ataona jamaa zake wa kenya jamaa zake watafanya sherehe kubwa ariana atasherehekea na kufurahi nao ariana atacheza na watoto
stt_dictionary
female
speaker_10
wengine akienda sokoni ataona vitu vingi tofauti vikiuzwa atawaona watu waliovalia mavazi tofuati atakula matunda mengi sana atakula machungwa ndizi na mananasi ariana atajaribu kupanda miti mrefu hajawahi kufanya hivyo
stt_dictionary
female
speaker_10
akiwa amerika atayaona mashamba yenye mimea tofauti wakenya wengi ni wakulima atatembelea mbuga za wanyama atawaona wanyama wa porini kama simba ndovu twiga na pundamilia ataona wanyama wa kufugwa kama kuku paka
stt_dictionary
female
speaker_10
mbuzi na njiwa amerika anafuga paka mmoja na mbwa mmoja atashuhudia harusi kijijinia tawaona watu wakiimba na kucheza ngoma za kitamaduni ataitembelea pwani ya kenya ataogelea katika bahari ya hindi jumapili ariana atajiunga na jamaa
stt_dictionary
female
speaker_10
mapenzi yanichanganya kwa kweli nina hamu kuyaelewa mapenzi yataka utaalamuuliojawa na ujuzi kila siku swali gumulinakosa jibu wazi mapenzi yanichanganya sijui yatokako najaribu inshallahkueleza mapenzi
stt_dictionary
female
speaker_10
aliyetukuka molana asokuwa mwenzi kwa kina lake allakaumba mapenzi mwenyezi mapenzi yanichanganya sijui yatokako mapenzi kitu ajabuna hasa kwa binadamu kwa rahisi huwa aibukujigamba kila sehemu ilikuwa ni kauli ya babuwa
stt_dictionary
female
speaker_10
zamani marehemu mapenzi yanichanganya sijui yatokako ilikuwa msemo wake yeyealiyenena toka enzi mpende akupendayendiyo raha ya mapenzi kwa kufosi akuchukiayetakufanya kuwa shenzi mapenzi yanichanganya sijui yatokako
stt_dictionary
female
speaker_10
kabla ya kuumbuliwa walikuwa wameumbwa naam walikuwa wamepewa turuhani sina uhakika kama mizimu ingeamka hii leo ingeshangilia haya au la mwanzo ingewakashifu kwa kukubali kile ambacho mababu zao wa zamani waliamini ni mwiko
stt_dictionary
female
speaker_10
waama ingewalaani japo mimi ninapotazama mambo nayaona tofauti kiasi na jinsi ulimwengu unavyotazama ninaona ni suala ya mwiba wa kujitakia ambao hauna pole hata hivyo ninalaumu wakati sana na si mimi tu hata hao wanafanya
stt_dictionary
female
speaker_10
hivyo wana sababu nyingi za kulaumu wakati wakati umewasaliti usaliti ambao umewafanya siku hizi waonekane vidubwasha vya maisha wakati umewapa jakamoyo na kuwaacha kila siku watazame mpororo wa mabadiliko mabadiliko
stt_dictionary
female
speaker_10
haya ndiyo yaliyombughdhi haji kila siku aliketi kwenye kigoda chake akitazama mabadiliko mabadiliko ambayo alipokuwa mchanga babake alipigana nayo naye alipokuwa kijana alisuhubiana na mabadiliko hayohayo na sasa
stt_dictionary
female
speaker_10
mabadiliko haya wamembadilisha kwanza yamemdhalilisha anaulaumu wakati kwa kuleta mabadiliko ambayo yamegeuza ulimwengu anawaona wengi kuwa na usongombwingo hasa wale ambao wanashiriki katika mabadiliko haya
stt_dictionary
female
speaker_10
aliketi pale chini akilaumu mabadiliko na kuulaani muda muda kwa kweli ulikuwa umemsaliti yeye na watu wote walio kama yeye sasa hivi wakati
stt_dictionary
female
speaker_10
umemuweka katika jela yeye na kila mtu aliye kama yeye wakati umewafanyisha mengi sana huzuni katika nyuso zao ni ikrari kuwa wametambarika na maisha wanatamani kurudisha wakati nyuma ili ubadilishe haya lakini wamechelea
stt_dictionary
female
speaker_10
chelewa chelewa utapata mwana si wako eti wote wamebaki kusema kuamini kuwa wataumbwa tena katika ulimwengu mwingine ulimwengu tofauti na huu ambao wamekosa maana na ladha majangina wa jana wamekuwa limbukeni katika vita
stt_dictionary
female
speaker_10
inatisha iweje eti wanaambiwa hawajui kushika upanga ambao wameishi kuushika miaka yote lakini kosa walifanya wao wenyewe naam walikubali kuwaruhusu wainue sauti zao nao wakaiyari kuwasikiza lakini wewe wadhani hilo ni kosa
stt_dictionary
female
speaker_10
kuna kosa gani kusikiza malalamishi ya mtu kuna kosa gani kumpa mtu nafasi silioni kosa ila dosari moja tu dosari iliyopo ni kuwa aliyepewa nafasi aliamua kuwaona waliompa nafasi kama watu wasio na maana
stt_dictionary
female
speaker_10
haji alisimama pale moyo unampapa asijue cha kufanya subira ilikuwa inamuhama kwa sasa aliketi akawaza na kuwazua alisubiri mwamuzi atangaze matokeo alijua kuwa ni mtu mmoja tu ambaye ana uwezo wa kumshinda katika tamasha hizi
stt_dictionary
female
speaker_10
alifahamu kuwa kutokana na uwasilishaji wake wa shairi lake kuwa akikosa namba moja basi ni mbili hiyo moja hakuwa na matumaini nayo wala hakuitarajia manake rashid alikuwa amewasilisha vyema kumliko kile alikuwa na uhakika nacho
stt_dictionary
female
speaker_10
ni kwamba namba mbili itakuwa ni yeye ningependa kuwashukuru wote ambao wameshiriki tamasha hizi kwanzia mwanzo hadi mwisho si rahisi kufika ngazi ya kitaifa ina maana kuwa kila mtu aliye hapa ni mshindi katika daraja hili
stt_dictionary
female
speaker_10
tulikuwa tukikagua yafuatayo kwanza tuliangalia utunzi wa mashairi yenu je mumefika viwango ambavyo tulitaka nafurahia kuona kila mtu alifika tuliangalia pia hisia za uso na
stt_dictionary
female
speaker_10
kiimbo cha uwasilishaji wengi hilo walifaulu mwisho tuliangalia ishara za mwili haya ndiyo matokeo alianza kutangaza mwamuzi
stt_dictionary
female
speaker_10
moyo ulimpapa haji alikuwa ameshindwa tamasha hizi kwa miaka mitatu sasa tangu alipokuwa kidato cha kwanza alikuwa ameshiriki katika daraja hili hili mara zote hizo aliambulia nambari ya tatu au nne alipotathmini aligundua kuwa
stt_dictionary
female
speaker_10
namba moja na mbili lazima wawe wa jinsia tofauti hata pale ambapo mvulana angemshinda msichana basi ililazimika mvulana huyo kupewa nambari tatu ndipo kuwe na usawa wa jinsia ndio sheria eti inayompa msichana ushindi kwa
stt_dictionary
female
speaker_10
sababu tu yeye ni msichana bali si kwa sababu ya ubora wake wanasema inua dada namba tatu haji mwababi namba mbili alfani fazaya na namba moja rashid abu hatimaye matokeo yalitangazwa
stt_dictionary
female
speaker_10
kulikuwa na ushindani mkali sana kati ya hawa wawili haji na rashid ila lazima pangekuwa na msichana katika washindi ni sheria ambayo wizara andalizi inafuata hivyo basi nambari moja na mbili waje mbele wapokee vyeti
End of preview. Expand in Data Studio

KenSpeech: A Swahili Speech Dataset for ASR

Dataset Description

KenSpeech is a comprehensive Swahili speech dataset containing both read and spontaneous speech recordings from native Swahili speakers in Kenya. This dataset is designed for training and evaluating automatic speech recognition (ASR) and speech-to-text (STT) systems for Swahili.

Dataset Statistics

Metric Value
Total Duration 27 hours 31 minutes 50 seconds
Read Speech Duration 26 hours 32 minutes 37 seconds
Spontaneous Speech Duration 59 minutes 13 seconds
Total Speakers 26
Female Speakers 19
Male Speakers 7
Lexicon Words 31,728+

Audio Format

Property Value
Sampling Rate 16 kHz
Channels Mono

Dataset Format

The dataset is distributed as Parquet files with embedded audio for optimal compatibility:

  • Format: Apache Parquet (with embedded audio bytes)
  • Encoding: UTF-8 for text fields
  • Compatibility: Works with datasets 4.0.0+ without custom loading scripts

Data Fields

Column Type Description
audio Audio Audio waveform (decoded array + sampling_rate)
source_folder string Origin folder (stt_dictionary or stt_transcripts)
gender string Speaker gender (male or female)
speaker string Speaker identifier (speaker_1, speaker_2, etc.)
transcript string Transcription text

Example Record

{
    'audio': {'path': '...', 'array': array([0.001, -0.003, ...]), 'sampling_rate': 16000},
    'source_folder': 'stt_dictionary',
    'gender': 'female',
    'speaker': 'speaker_1',
    'transcript': 'masaa mawili kabla basi kuwasili...'
}

Usage

Loading with Hugging Face Datasets

from datasets import load_dataset

# Load the dataset
dataset = load_dataset("Kencorpus/KenSpeech")

# Access a sample
sample = dataset['train'][0]
print(sample['transcript'])
print(sample['gender'])
print(sample['speaker'])
print(sample['audio']['sampling_rate'])  # 16000
print(sample['audio']['array'].shape)    # audio waveform

Filtering by Gender

from datasets import load_dataset

dataset = load_dataset("Kencorpus/KenSpeech")

# Get female speakers only
female_data = dataset['train'].filter(lambda x: x['gender'] == 'female')
print(f"Female samples: {len(female_data)}")

# Get male speakers only
male_data = dataset['train'].filter(lambda x: x['gender'] == 'male')
print(f"Male samples: {len(male_data)}")

Training an ASR Model

from datasets import load_dataset
from transformers import Wav2Vec2Processor, Wav2Vec2ForCTC

# Load dataset
dataset = load_dataset("Kencorpus/KenSpeech")

# Load a multilingual model
model_name = "facebook/wav2vec2-large-xlsr-53"
processor = Wav2Vec2Processor.from_pretrained(model_name)
model = Wav2Vec2ForCTC.from_pretrained(model_name)

# Process a sample
sample = dataset['train'][0]
inputs = processor(sample['audio']['array'], sampling_rate=16000, return_tensors="pt")

Additional Resources

Pronunciation Lexicon (lexicon.csv)

A Swahili lexicon-phone dictionary with over 31,000 words and their phonetic transcriptions.

Format: word,phoneme_sequence

wanapaswa,W AH N AH P AH S W AH
wanasema,W AH N AH S EH M AH
wanataka,W AH N AH T AH K AH

Transcript-only Data (transcripts_only.csv)

Additional transcripts from the stt_transcripts collection without corresponding audio.


Speech Types

Type Duration Percentage
Read Speech 26h 32m 37s 96.4%
Spontaneous Speech 59m 13s 3.6%

Intended Uses

  • Training automatic speech recognition (ASR) systems for Swahili
  • Evaluating speech-to-text models
  • Phonetic and linguistic research on Swahili
  • Building text-to-speech (TTS) systems
  • Transfer learning for other Bantu languages

Dataset Curators

  • Dorcas Awino
  • Dr. Benard Okal
  • Khalid Kitito
  • Owiny Japheth Otieno

Citation

@article{wanjawa2022kencorpus,
  title={Kencorpus: A Kenyan Language Corpus of Swahili, Dholuo and Luhya for Natural Language Processing Tasks},
  author={Wanjawa, Barack W. and Wanzare, Lilian D. and Indede, Florence and McOnyango, Owen and Ombui, Edward and Muchemi, Lawrence},
  journal={arXiv preprint arXiv:2208.12081},
  year={2022}
}

Links


License

This dataset is licensed under CC-BY-4.0.


Acknowledgments

This dataset is part of the Kencorpus project, which aims to create NLP and speech resources for low-resource Kenyan languages.

Downloads last month
55

Paper for Kencorpus/KenSpeech